Fid q biography books
Biography books free!
Fid Q
Farid Kubanda (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Fid Q; amezaliwa katika hospitali ya Bugando iliyopo jijiniMwanzatarehe13 Agosti) ni msanii wa hip hop na Bongo Flava nchini Tanzania.
Kabila lake ni msukuma.
Fid q biography books
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Fid Q alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya Fid Q alitoa wimbo wake wa kwanza mwaka ulioitwa 'Huyu na Yule' ambao huo aliimba na msanii Mr Paul. wimbo huu ulimpa heshima kubwa, ulirekodiwa katika studio za MJ records chini ya usimamizi wake Master Jay mwenyewe.
Wimbo wake wa pili kutoka uliitwa 'Binti Malkia' ambao alimshirikisha Nuruelly. Ilivyofika mnamo mwaka wa Fid Q alivunja ukimya wake kwa wimbo wake mahiri uliokwenda kwa jina la "Fid ", na wimbo huo aliufanya katika studio ya Baucha Records baada ya kuhama kwa MJ.
Wimbo huo uliirudisha ile hiphop ya Tanzania katika ramani yake halisi na inasemekana hivyo kwa sababu kipindi hicho ni kile ambacho wasaanii wengi wa muziki wa kufoka foka walikuwa wamejiing